Nakupenda from Benga Blues by Winyo
Tracklist
2. | Nakupenda | 6:31 |
Lyrics
Upepo mkali sauti ya sema nipende leo nitakupenda pia
Sauti ya vuma yanifuta machozi amua uone nitakupenda pia
Kama kweli sitoshi tafuta uone twende nawe milima tutapenda pamoja
Ndani ya roho yangu bado imeandikwa kwa dhahabu tafuta uone ntakupenda pia
Nakupenda, nakutaka
Nikupende leo, utanipenda pia
Urembo wako na uzuri wako yanifanya vyema, niokowe baibe, niokowe baibe Sinahaja na wengine baibe nakutaka wewe, siogopi kamwe nakupenda mpenzi
Upepo ya vuma yanifuta machozi, kama upepo yaja inilitee baraka
Upepo yaa vuma upepo yanimaliza, kama kweli upepo mpenzi sikiza
Naipasha sauti, sauti jangwani, kama kweli upo mpenzi sika
Japo mvua itanyesha, inyeshe leo Nitakuviringa ndani ya mikono yangu Japo mvua itanyesha inyeshe leo, Itakuwa mapenzi yangu kwako
Credits
Written and arranged by Winyo