Njoo from Benga Blues by Winyo
Tracklist
9. | Njoo | 4:05 |
Lyrics
Moyo wangu wa dunda Njoo nikuone
Macho yangu ya ziba Njoo nikuone
Maisha ya jenga ukuta, giza nyingi yaniingia
Kama farasi ninge kimbia nikuone
Maisha ya jenga ukuta woga wingi waniingia
Njoo ma, njoo nikuone
Sisi, sisi twapendana
Sifazetu zafilisika mama
Marafiki wanatucheka mama
Kama kweli wanipenda mbona basi sina raha
Haina haja tuoane kama wewe huna raha
Usiwe mbali nisife moyo
Kama kweli wanipenda mbona basi sina raha
Haina haja tuoane kama wewe huna raha
Oh nibebe, nibebe moyo
Oh nione, nione moyo
Credits
from Benga Blues,
released September 6, 2012
Written and arranged by Winyo
Written and arranged by Winyo