Twabishana from Benga Blues by Winyo
Tracklist
4. | Twabishana | 4:42 |
Lyrics
Miaka mingi ya pita miaka hairudi tena Siku nazo zina pita
Siku nazo za pita siku hazitarudi siku hazitarudi tena
Twagombana
Twabishana
Nimengi tunaona
Machozi yangu kwisha, mapenzi yetu tele, mbona hatuelewani
Vitanisiku kila, mara twaona wengi, mara hatuoni jicho
Ona leo twabishana, usiku hatuta lala
Tena kesho twabishana, mchana hatusemi neno
Vita za kila siku, vita za kila mara
Mbona hatuelewani, vita za towa jasho Wanichosha moyo , nimechoshwa vita
Vita za towa jasho baibe, mbona hatuelewani
Mbona hatusemi kitu, raha za leta shida, shida za lete raha.
Mengi tume yaona, sasa hatusemi yote, raha tumezoea.
Mengi tumeyaona mengi tunayafanya, mbona twa vunja moyo ooh!
Twagombana baby
Twabishana baby
Onatwakata moyo
Yamenishinda sana, yamenishinda baby
Onasielewi tena
Yamenikata moyo
Mbonahatuelewani
Credits
Written and arranged by Winyo